Skip to content

Info Langoo ni nini?

Info lango ni Sirola ambayo inahudumia watu ambayo wanaishi Finland kwa kupa mawaidha. Unaweza pata mawaidha ns mashauri ya kila kitu maishani kama maswali ambayo yanahusu masomo, maswali ya sosiali na huduma za matibabu. Mawaidha yanapewa kwa lugha tofauti.

Hii huduuma inapatianwa bure bila malipo na inaweza tumiwa na kila mtu.

Mawaidha kwa umbali ama mawaidha kijijini inamaanisha.

Unaweza pata mawaidha kwa simu.

tel 040 679 0481

Ijumaa ama siku ya tano saa 11:00 hadi 13:00

Unaweza pigia muhudumiaji wa lugha yako AMA chukua wakati kwanza. Kisha muhudumiaji wako atakupigia simu wakati ulio chagua.

 

Kutumia Skype kwa simu ama kwa kompyuta

Chukua wakati kwanza. Unahitaji Skype kwa kifaa chako. Kisha muhudumiaji wako atakupigia wakati mumekubaliana.