Skip to content

 

Ni vizuri kuomba wakati ndio muhudumiaji wa lugha yako akuwe tayari kukupa mawaidha.

Kumbuka hii huduma ni ya bure na inaweza tumiwa na kila mtu.

Omba wakati

Omba wakati

Unaweza pata mawaidha kwa simu.

Tel 040 679 0481

Ijumaa ama siku ya tano saa 11:00 hadi 13:00

Unaweza pigia muhudumiaji wa lugha yako AMA chukua wakati kwanza. Kisha muhudumiaji wako atakupigia simu wakati ulio chagua.

 

Kutumia Skype kwa simu ama kwa kompyuta

Chukua wakati kwanza. Unahitaji Skype kwa kifaa chako. Kisha muhudumiaji wako atakupigia wakati mumekubaliana.